WAZIRI MKUU MAJALIWA ARIDHISHWA NA UTENDAJI KAZI WA TBS
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametembelea Shirika la Viwango Tanzania (TBS) ili kujionea utendaji kazi wa shirika hilo. Waziri Mkuu Majaliwa alifanya ziara hiyo jana Makao Makuu ya Shirika jijini Dar es Salaam akiwa ameongozana na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Uwekezaji), Angella Kairuki, Waziri wa Afya, Maendeleo ya …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AIPONGEZA TFDA KWA KUIFANYA TANZANIA KUWA YA KWANZA KATIKA UDHIBITI WA UBORA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) inafanya kazi zake vizuri na kuifanya Tanzania kwa nchi Kwanza katika udhibiti wa ubora wa dawa, vifaa, Tiba, vipodozi pamoja na vitendanishi. Waziri Mkuu Majaliwa aliyasema hayo wakati alipokwenda ziara ya kikazi katika Mamlaka hiyo amesema kuwa katika kufanya …
Soma zaidi »MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI UTALETA FURSA NYINGI KWA WATANZANIA – WAZIRI MHAGAMA
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe.Jenista Mhagama Machi 2, 2019 amefungua warsha ya mafunzo kuhusu Mradi wa Bomba la Mafuta Ghafi la Afrika Mashariki (EACOP) kutoka Hoima nchini Uganda kuja Tanga, Tanzania. Warsha hiyo iliwakutanisha zaidi ya wadau …
Soma zaidi »UJENZI WA TEMINARL III WAFIKIA ASILIMIA 95
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametembelea mradi wa ujenzi wa jengo la tatu la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNIA) na kusema ameridhishwa hatua iliyofikiwa. Mradi wa ujenzi wa jengo hilo umefikia asilimia 95 na unatarajiwa kukamilika Mei 30, mwaka huu ambapo hadi sasa tayari maeneo …
Soma zaidi »LIVE: MKUTANO WA WAZIRI MKUU NA WAFANYABIASHARA JIJINI DAR
SEKTA BINAFSI KUSHIRIKIANA NA SERIKALI JUU YA MAFUNZO YA KUWAANDAA WATANZANIA KUSHIKA NYADHIFA ZA JUU ZA UONGOZI KATIKA MAKAMPUNI
Jukwaa La Taasisi ya Wakurugenzi na wamiliki wa makampuni binafsi Tanzania(CEOrt) kwa kushirikiana na Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira limekuja na mpango maalum wa kuwawezesha watanzania kushika nyadhifa za juu za Uafisa Mtendaji Mkuu (CEOs) na Ukurugenzi Mtendaji (MDs) katika Makampuni na Taasisi mbalimbali kupitia mafunzo ya kuwajengea …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AZINDUA MATREKTA MAWILI AINA YA URSUS
Kiwanda cha Kuunganisha Trekta za Ursus ni kiwanda kinachosimamiwa na Shirika la Taifa la Maendeleo (NDC) ambapo huunganisha Trekta zinazokuja kwa vipande kutoka nchini Poland. Kiwanda hicho kilianza rasmi kufanya kazi Aprili, 2017 ambapo ni moja ya matunda ya kauli mbiu ya Mhe. Rais Dkt. John Pombe Magufuli ya ujenzi …
Soma zaidi »SERIKALI KUENDELEA KUJENGA MAZINGIRA WEZESHI KATIKA SEKTA YA KILIMO
Serikali imedhamiria kuendelea kujenga mazingira wezeshi na endelevu katika Sekta ya Kilimo kupitia sera imara na zenye kutekelezeka. Hayo yamebainishwa na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Uwekezaji Angellah Kairuki wakati akifungua Kongamano la Tano la Wadau wa Sekta ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi kuhusu Sera Jijini Dodoma …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+