Waziri Mkuu

NATOA WITO KWA WAZAZI KUTOWARUHUSU WATOTO KUREJEA CHINA MPAKA PALE SERIKALI ITAKAPOJIRIDHISHA NA HALI INAVYOENDELEA NCHINI HUMO – WAZIRI MKUU

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wazazi wenye watoto wanaosoma nchini China kutoruhusu watoto hao kurudi nchini humo kwasasa mpaka pale Serikali itakapotoa tamko baada ya kupata taarifa kutoka kwa Balozi wa Tanzania Nchini China Mbelwa Kairuki  kuhusu hali inavyoendelea nchini humo kufuatia ugonjwa unao sababishwa na kirusi cha …

Soma zaidi »

KILA MTANZANIA ANAWEZA KUWEKEZA, TUMIENI FURSA ZILIZOPO – WAZIRI KAIRUKI

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Uwekezaji nchini Mhe. Angellah Kairuki amewaasa wananchi kuthubutu uwekezaji katika maeneo yenye tija kwa kuzitumia fursa za uwekezaji zilizopo ili kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo yao na nchi kwa ujumla. Ametoa kauli hiyo tarehe 23 Januari, 2020 alipokuwa akizungumza na …

Soma zaidi »

SERIKALI YAJIZATITI KUIMARISHA USIMAMIZI NA UDHIBITI WA RASILIMALI MADINI

Serikali imedhamiria kuwa na mikakati endelevu ya kusimamia na kudhibiti rasilimali madini ili ilete tija iliyokusudiwa kwa Taifa. Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama (Mb) leo Januari 25, 2020 Jijini Dodoma alipokuwa akifungua kikao …

Soma zaidi »