Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye pia ni Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC)akiwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango,
MLELE SASA IMEFUNGUKA, NA TUNAONA MAENDELEO KATIKA SEKTA MBALIMBALI, SERIKALI YETU KWELI IPO KAZINI
Rais Wa Wa Jamhuri Ya Muungno Wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Amezungumza Na Wananchi Wa Kijiji Cha Inyonga Kilichopo Wilayani Mlele Mkoani Katavi Baada Ya Kuzindua Kitua Cha Kupooza Umeeme Cha Gridi Ya Taifa Cha Mlele , Ambapo Ameewataka Wananchi Kutunza Mazingira Na Kuacha Kuchoma Misitu Hovyo. Aidha …
Soma zaidi »Ahadi zote Tunaona Utekelezwaji Wake, Hasa Miradi Muhimu ya Kujenga Na Kuimarisha Uchumi wa Tanzania
Rais Wa Wa Jamhuri Ya Muungno Wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan Amezungumza Na Wananchi Wa Kijiji Cha Inyonga Kilichopo Wilayani Mlele Mkoani Katavi Baada Ya Kuzindua Kitua Cha Kupooza Umeeme Cha Gridi Ya Taifa Cha Mlele , Ambapo Ameewataka Wananchi Kutunza Mazingira Na Kuacha Kuchoma Misitu Hovyo. Aidha …
Soma zaidi »ONGEZEKO LA BAJETI YA KILIMO NA UTOAJI WA PEMBEJEO NA MAFUNZO KWA WAKULIMA, HATUA CHANYA KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Hizi ni hatua chanya katika ujenzi wa Tanzania. Ongezeko la bajeti ya kilimo kutoka TZS bilioni 970.8 hadi TZS trilioni 1.24 linaonyesha dhamira ya serikali ya kuwekeza zaidi katika sekta muhimu ya kilimo. Hii itasaidia kuboresha uzalishaji na kuimarisha uchumi wa nchi. Vilevile, wakulima kupata pembejeo na mafunzo ni hatua …
Soma zaidi »Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na mgeni wake Rais wa Msumbiji Mhe. Filipe Jacinto Nyusi wakati wakiangalia baadhi ya bidhaa zilizopo katika Mabanda mbalimbali ya Maonesho ya 48 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (Sabasaba)
#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #NEMC #wizarayaafya #wizarayaujenzi
Soma zaidi »SERIKALI YA TANZANIA YAENDELEA KULETA MAENDELEO KWA UWAZI NA UWAJIBIKAJI
Serikali ya Tanzania imechukua hatua mbalimbali ili kuhakikisha uwajibikaji kwa mujibu wa Katiba ya nchi. 1. Utekelezaji wa Miradi ya Miundombinu Serikali imewekeza katika miradi mikubwa ya miundombinu kama vile barabara, reli, na viwanja vya ndege ili kuboresha usafiri na usafirishaji ndani ya nchi. Mradi wa reli ya kisasa (Standard …
Soma zaidi »Serikali Yaandaa Mpango wa Mageuzi ya Sekta ya Mifugo ili Kukuza Ufugaji wa Kisasa Nchini
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amesema kuwa Serikali imeandaa mpango wa mageuzi ya sekta ya mifugo ambao utasaidia kupunguza changamoto zinazokabili sekta hiyo nchini. Dkt. Biteko alitoa wito kwa Wizara ya Mifugo na Uvuvi kubuni mbinu na mikakati ya kuondokana na ufugaji usio na …
Soma zaidi »BAJETI KUU YA SERIKALI 2024-2025 KATIKA SEKTA MBALIMBALI ZA KIMAENDELEO NCHINI TANZANIA
Msamaha wa Kodi kwa Trekta za Kilimo Kuingiza trekta lenye ekseli moja kwenye wigo wa zana na vifaa vya kilimo vinavyopata msamaha wa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) ni hatua muhimu katika kuendeleza sekta ya kilimo nchini. Marekebisho haya yanalenga kuboresha miundombinu ya kilimo na kufanya vifaa vya kisasa …
Soma zaidi »Benki ya NMB Tanzania yapongezwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan
kwakuwa Kinara katika utendaji wake, kutengeneza faida kubwa ya mfano wa kuigwa na mashirika na taasisi nyingine za umma. #SSH #NMB #Mashirikayaumma #serikali #Benki #PLC #CRDB #NBC #POSTABENKI
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+