Je, kuna vifungu maalum katika sheria vinavyoelezea haki na wajibu wa wahusika katika mchakato wa mirathi?
Afisa Usajili kutoka RITA Bw. Mohamed O. Changula akiwasilisha mada ya WOSIA na MIRATHI kwa wananchi wa Kijiji cha Chabutwa – Halmashauri ya ITIGI.
Soma zaidi »Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichofanyika Leo
Mhe Rais Samia Atoa Salamu Za Pole Kwa Waliopoteza Ndugu kutokana na Ajali Mgodini Ng’alita
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Philip Isdor Mpango akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Zurich nchini Uswisi ambapo anatarajia kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Uchumi Duniani (WEF)
Askari mbalimbali wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wakipita mbele ya Jukwaa Kuu wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika kwenye uwanja wa Amani
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali waliohudhuria Sherehe za maadhimisho ya miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika katika uwanja wa Amani
Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024.
Kikosi Maalum cha Jeshi la Wananchi wa Tanzania-JWTZ Kikipita kwenye Maadhimisho ya Sherehe za Miaka 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar yaliyofanyika leo tarehe 12 Januari 2024. pic.twitter.com/IU0kHqZhLe— Matokeo ChanyA+ (@matokeochanya) January 12, 2024
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+