RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

CHIFU – ROCKETI MASOKO MWANSHINGA , AKEMEA WANAOPANGA KUZUIA WANANCHI KUJITOKEZA KWENYE UCHAGUZI.

Chifu wa Mkoa wa Mbeya, Rocketi Masoko Mwanshinga, amewataka wananchi wote wa mkoa huo kutumia haki yao ya kikatiba kujiandikisha na kushiriki kikamilifu katika Uchaguzi Mkuu wa 2025. Chifu Mwanshinga amekemea vikali wale wote wanaotaka kuwazuia wananchi kushiriki katika mchakato wa uchaguzi, akisema Mungu atawapa usingizi na hawataweza kuzuia uchaguzi …

Soma zaidi »

MHE. MCHENGERWA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI WA MIKATABA YA UJENZI WA BARABARA KM. 84 ZA DAR ES SALAAM

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa leo Machi 21, 2025 ameshuhudia Utiaji Saini wa Zabuni 9 zilizobeba thamani ya Shilingi Bilioni 221.8 zinazojumuisha Barabara zenye urefu wa Kilomita 84.4 zinazotarajiwa kujengwa katika Halmashauri za Dar es Salaam chini ya Mradi …

Soma zaidi »

Dawati la msaada wa kisheria lilipata nafasi ya kutembelea chuo cha maendeleo ya wananchi-Mwanva (FCD) Kilichopo mtaa wa igomelo,kata ya Malunga,halmashauri ya manispaa ya kahama

#kazinaututunasongambele#sisinitanzania#matokeochanya#katibanasheria#nchiyangukwanza#kaziiendelee#SSH#MSLAC @ccm_tanzania @SuluhuSamia @matokeochanya @MsLACampaign @sisiniTanzania @NCHIYANGUT @Sheria_Katiba

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWATAKA VETA KUTOA MAFUNZO YANAYOZINGATIA SOKO LA AJIRA

Ametoa wito kwa wadau wa elimu na mafunzo ya ufundi stadi nchini watoe mafunzo yanayozingatia mahitaji halisi ya soko la ajira.   “Mahitaji ya soko la ajira tutayajua kwa kufanya tafiti za mara kwa mara kwa ushirikiano kati ya Serikali, sekta binafsi, na mashirika ya kimataifa.”   Ametoa wito huo …

Soma zaidi »