RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

πŸ…»πŸ…ΈπŸ†…πŸ…΄ :πŸ”΄ BUNGE LA KUMI NA MBILI, MKUTANO WA KUMI NA TISA KIKAO CHA KUMI NA SABA, 05 MAY 2025.

#ijuesheria #section4wakilitv #chadema #bungelive #ijuesheria #section4wakilitv #chadema #chademamedia #tls #tundulissu #tls #mwabukusi #uchaguzimkuu2025 #uchaguzi #uchaguzimkuu

Soma zaidi »

WAFANYAKAZI WATOA NENO LA SHUKRANI KWA RAIS SAMIA

Baadhi ya Wafanyakazi nchini wametoa pongezi na shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuthibitisha tena kuwa anawajali watumishi wa umma. Katika kilele cha sherehe za Mei Mosi 2025 zilizofanyika Uwanja wa Bombadia mkoani Singida, Rais Samia alitangaza ongezeko la kima …

Soma zaidi »

πŸ”΄ LIVE: WAZIRI MCHENGERWA NA RC MAKONDA WAKUTANA NA WATUMISHI MKOANI ARUSHA

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Hon. George Mchengerwa akiwa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda, wamezungumza kwa kina na watumishi wa umma kuhusu masuala ya msingi yanayowakabili kazini. πŸ’¬ Masuala yaliyojadiliwa: Uboreshaji wa mazingira ya kazi Malipo ya …

Soma zaidi »