#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC
Soma zaidi »Rais Samia Suluhu Ifakara
Katika hotuba yake, Rais Samia aliwashukuru wananchi wa Ifakara kwa mapokezi mazuri na kueleza kuwa serikali yake imejipanga kuendelea kuboresha huduma za msingi kama vile elimu, afya, na miundombinu. Aliwaeleza kuwa miradi mikubwa kama Kituo cha Kupoza Umeme Ifakara na reli ya SGR ni sehemu ya mkakati wa serikali katika …
Soma zaidi »Ziara Ya Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Kilombero, Morogoro
Wananchi wa Ifakara wajitokeza kwa wingi kumpokea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye Uwanja wa CCM Ifakara, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro. Ziara hii ilikuwa ni sehemu ya mikutano ya Rais Samia na wananchi, ambapo alifika kuzungumza na wananchi …
Soma zaidi »NEMC NYANDA ZA JUU KUSINI YAWAKARIBISHA WADAU KUPATA ELIMU YA MAZINGIRA NANENANE MBEYA
Uzinduzi wa Bwawa la Umwagiliaji Mtibwa, Rais Samia Aimarisha Sekta ya Kilimo na Uzalishaji wa Sukari Nchini
Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan amezindua Bwawa la umwagiliaji lenye mita za ujazo milioni 25 na Awamu ya tatu ya upanuzi wa mashamba na umwagiliaji katika Kiwanda cha Sukari Mtibwa, ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi katika Wilaya ya Mvomero, Mkoani Morogoro, tarehe 03 Agosti, 2024. Uzinduzi …
Soma zaidi »NEMC YAENDELEA KUTOA ELIMU VIWANJA VYA NANENANE NZUGUNI DODOMA
DKT. HENRY MPUMPI AELEZEA FAIDA ZA HOSPITALI MPYA YA WILAYA YA GAIRO BAADA YA UZINDUZI NA RAIS SAMIA
Mganga Mfawidhi Wa Hospitali Ya Wilaya Ya Gairo Dkt. Henry Alex Mpumpi Akielezea Faida Zitakazopatikana Kufuatia Uzinduzi Wa Hospitali Ya Wilaya Hiyo Uliofanywa Na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan Tarehe 02/08/2024
Soma zaidi »WANANCHI WILAYANI KILOSA WAISHUKURU SERIKALI KWA UJENZI WA DARAJA LA BEREGA
Wananchi wa Wilaya ya Kilosa, Mkoa wa Morogoro, wameonyesha shukrani zao kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuzindua Daraja la Berega. Uzinduzi huo ulifanyika tarehe 02 Agosti, 2024, katika ziara ya kikazi ya Rais Samia mkoani Morogoro. Daraja hili muhimu limekuwa ni …
Soma zaidi »Mtalii Raia wa Sweden Avutiwa na Ubora wa Treni ya Kisasa ya SGR Nchini Tanzania
“Ni treni ya kisasa kabisa na tunajisikia vizuri (‘comfortable’) kutumia aina hii ya usafiri. Ina mwendo wa kasi iko ‘comfortable’ na ina huduma nzuri wakati wa safari. Kitu kizuri na cha kufurahisha zaidi, ni treni nzuri zaidi kuzidi hata zile za kwetu nyumbani Ulaya ( Sweden) treni hii ni nzuri …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+