RAIS SAMIA SULUHU HASSAN

Katika kila hatua ya maendeleo, Tanzania inamtegemea Mungu kama nguzo kuu, kuhakikisha kuwa maendeleo yanayopatikana ni ya kudumu na yenye baraka kwa vizazi vijavyo.

#SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya #wizarayaujenzi

Soma zaidi »

AMKA TANZANIA, KAZI NI MAENDELEO, TUIJENGE NCHI YETU.

SIO NDOTO TENA!! TUKIISHI FALSAFA YA 4R YA RAIS DKT SAMIA TUTAJENGA TAIFA IMARA NA MADHUBUTI KIUCHUMI, KISIASA NA KIJAMII!👇🏻👇🏻 #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #KaziIendelee🇹🇿💪🏾 #SisiNdioWajenziWaTanzaniaYetu #SSH #CCM #KaziIendelee #Nchiyangukwanza #SisiniTanzania #matokeochanya #MSLAC #SamiaSuluhuHassan #ChamaChaMapinduzi #PhilipMpango #wizarayaafya

Soma zaidi »

Ndege Mpya Ya Boeing 787-8 Dreamliner Mageuzi Makubwa Katika Sekta Ya Usafirishaji Nchini Tanzania

Mradi wa ununuzi wa ndege mpya ya Air Tanzania (ATCL), aina ya Boeing 787-8 Dreamliner, ni hatua muhimu katika kuimarisha sekta ya uchukuzi nchini Tanzania. Ndege hii ya kisasa ina uwezo mkubwa wa kuboresha huduma za usafiri wa anga, huku ikichangia kwa kiasi kikubwa katika maendeleo ya kijamii na kiuchumi …

Soma zaidi »

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Viongozi mbalimbali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume, Zanzibar wakati akitokea Harare nchini Zimbabwe

Mhe. Rais Dkt. Samia alishiriki Mkutano wa 44 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) na kuteuliwa kuwa Mwenyekiti wa Asasi ya Siasa, Ulinzi na Usalama ya Jumuiya ya hiyo (SADC-Organ Troika)

Soma zaidi »

Rais Samia, Rais aliyeleta mageuzi

Mageuzi yana nafasi muhimu katika kuboresha mifumo ya kiutawala, kiuchumi, na kijamii, kama inavyotamkwa katika Katiba ya Tanzania. Katiba inaelekeza kwamba serikali ina wajibu wa kuhakikisha kuwa rasilimali za taifa zinatumiwa kwa manufaa ya Watanzania wote na kwamba kuna uwazi na uwajibikaji katika utendaji wa shughuli za serikali. Rais Samia …

Soma zaidi »

Rais Samia, Rais Wa Maridhiano

Maridhiano ni mojawapo ya nguzo kuu za demokrasia ambayo imeainishwa katika Katiba ya Tanzania, hususan kwa kuhakikisha kuwa haki na uhuru wa kila raia vinaheshimiwa (Sehemu ya Tatu ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, 1977). Rais Samia, kupitia sera ya maridhiano, anajenga msingi wa umoja wa kitaifa kwa …

Soma zaidi »