Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 02 Agosti, 2020 amepokea Hati za Utambulisho za Mabalozi 2 walioteuliwa kuziwakilisha nchi zao hapa Tanzania. Balozi wa Marekani hapa nchini Donald John Wright akiwa amesimama wakati nyimbo za Mataifa mawili ya Tanzania na Marekani zilipokuwa zikipigwa na …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATEUA WAKILI MKUU WA SERIKALI NA NAIBU WAKILI MKUU WA SERIKALI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 10 Julai, 2020 amemteua Bw. Gabriel Pascal Malata kuwa Wakili Mkuu wa Serikali (Solicitor General) Kabla ya uteuzi huo Bw. Malata alikuwa Naibu Wakili Mkuu wa Serikali na anachukua nafasi ya Dkt. Julius Clement Mashamba. Wakati huo …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATEUA MKUU WA WILAYA, MKURUGENZI NA MAKATIBU TAWALA WA WILAYA 2
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 09 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Mkuu wa Wilaya 1 na Mkurugenzi Mtendaji 1, kama ifuatavyo; Kwanza, Rais Magufuli amemteua Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Advera John Bulimba kuwa Mkuu wa Wilaya ya Nzega Mkoani Tabora. Kabla ya …
Soma zaidi »RAIS DKT MAGUFULI AAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha baada ya kumthibitisha Bw. James Kaji kuwa Kamishna Jenerali wa Mamlaka ya Udhibiti wa Dawa za Kulevya nchini (DCEA) kwenye hafla iliyofanyika Ikulu Chamwino Dodoma Julai 6, 2020 Rais Dkt. John Magufuli amewaapisha Wakuu wa Mikoa 2, Kamishna …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI WA WAKUU WA MIKOA 2 NA WAKUU WA WILAYA 9
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Julai, 2020 amefanya uteuzi wa Wakuu wa Mkoa 2 kama ifuatavyo; Kwanza, Mhe. Rais Magufuli amemteua Dkt. Philemon Sengati kuwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora. Kabla ya uteuzi huo, Dkt. Sengati alikuwa Mkuu wa Wilaya ya …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AKAGUA UJENZI WA RELI YA KATI (SGR) SEHEMU YA DAR ES SALAAM – MOROGORO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha na viongozi mbalimbali pamoja na Wafanyakazi wa Shirika la Reli nchiniTRC kabla ya kuondoka katika stesheni hiyo ya Soga mkoani Pwani. Rais Dkt. John Magufuli tarehe 28 Juni, 2020 amekagua maendeleo ya ujenzi wa reli …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AZINDUA MRADI MKUBWA WA MAJI WA KIBAMBA – KISARAWE MKOANI PWANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta utepe pamoja na Waziri wa Maji Profesa Makame Mbarawa ili kuzindua mradi mkubwa wa maji wa Kibamba-Kisarawe katika sherehe zilizofanyika Wilayani Kisarawe Mkoani Pwani leo tarehe 28 Juni 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA VIONGOZI 3 WA MKOA WA ARUSHA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 19 Juni, 2020 ametengua uteuzi wa viongozi 3 wa Mkoa wa Arusha na kufanya uteuzi wa viongozi watakaoshika nyadhifa hizo. Kwanza, Mhe. Rais Magufuli ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo na …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AHUTUBIA NA KUFUNGA BUNGE LA 11 LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA JIJINI DODOMA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimsikiliza Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada ya kulihutubia Bunge la 11 Jijini Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na Spika wa Bunge Job Ndugai mara baada …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AMESHIRIKI KUHUITIMISHWA BUNGE LA 11 DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza jambo na Rais Dkt John Magufuli, Rais Mstaafu Dkt Jakaya Kikwete na Rais Mstaafu Benjamin Mkapa leo Juni 16,2020 aliposhiriki Shughuli ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kuhitimisha Bunge …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+