Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imezungumza na taasisi za fedha na zile zinazosaidia kuwezesha wananchi kiuchumi ili kuwawezesha wafanyabiashara wa vijijini. Hatua hiyo itatatua changamoto ya upatikanaji wa kiwango kidogo cha fedha katika maeneo hayo hivyo kuwawezesha wafanyabishara wanaowekeza vijijini kuendelea. Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Waziri Mkuu, …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
SERIKALI KUFANYA SENSA YA NYUMBA NA MAJENGO
Na Munir Shemweta, DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali iko katika maandalizi ya kufanya sensa ya nyumba na majengo kote nchini. Sensa hiyo itafanyika sanjari na Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mwezi Oktoba, 2022. Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani …
Soma zaidi »MWENYEKITI MTENDAJI WA SHELL ATETA NA BALOZI WA TANZANIA
Makamu wa Rais na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Shell ya Uholanzi mwenye makazi yake Tanzania, Bw. Jared Kuehl alitembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Uholanzi na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini humo, Irene Kasyanju hivi karibuni. Katika mazungumzo hayo, Pamoja na mambo mengine, Bw. Kuehl alimhakikishia Balozi Kasyanju …
Soma zaidi »WAZIRI NDAKI ABAINISHA UFUGAJI WA SAMAKI KUONGEZA MALIGHAFI VIWANDANI
Na. Edward Kondela Serikali imesema uwekezaji wa ufugaji wa samaki utasaidia kuongeza malighafi kwenye viwanda vya uchakataji wa samaki pamoja na kuanzisha viwanda vipya hususan katika Ukanda wa Bahari ya Hindi. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amesema hayo (02.10.2021) wakati alipotembelea shamba la ufugaji samaki linalomilikiwa na …
Soma zaidi »TANGULIZENI MASLAHI YA TAIFA – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mabalozi wanaoteuliwa kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi wanapaswa kutanguliza maslahi ya Taifa katika utekelezaji wa majukumu yao. Amesema kuwa mabalozi hao wanapaswa kutekeleza falsafa ya Mheshimiwa Rais Samia ya kuona kazi zilizoratibiwa zinaendelea kutekelezwa kwa uadilifu mkubwa na uaminifu ili ziweze kutoa matokeo chanya katika …
Soma zaidi »MAJALIWA: SERIKALI INATAMBUA MCHANGO UNAOTOLEWA NA TAASISI ZA KIDINI NCHINI
Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan inaheshimu, inathamini na kutambua mchango mkubwa unaotolewa na taasisi za kidini katika kujenga jamii ya wacha Mungu, wenye kutii mamlaka na sheria. Pia, Mheshimiwa Majaliwa ametoa wito kwa taasisi za kidini kujiepushe kutumia nyumba za …
Soma zaidi »WAZIRI MCHENGERWA AELEKEZA KUWASHUSHA VYEO MAAFISA UTUMISHI WALIOSHINDWA KUTEKELEZA AGIZO LA KUWAPANDISHA VYEO WATUMISHI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Mhe. Mohamed Mchengerwa amewaelekeza watendaji wa ofisi yake kufanya ufuatiliaji ili kuwashusha vyeo Maafisa Utumishi katika Taasisi za Umma walioshindwa kutekeleza agizo la Rais Samia Suluhu Hasssan la kuwapandisha vyeo watumishi wenye sifa za kupanda madaraja. Mchengerwa …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA MABALOZI SABA IKULU DODOMA
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor akizungumza na Mabalozi saba wanaoiwakilisha Tanzania katika nchi za Rwanda, Sweden, Uturuki, Korea Kusini, Uswisi, India na Ethiopia wakati mabalozi hao walipofika kumuaga Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Oktoba 1, 2021. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS WA BENKI YA DUNIA KANDA YA AFRIKA AMALIZA ZIARA YAKE NCHINI
Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) akiagana na Makamu wa Rais wa Benki ya Dunia Kanda ya Kusini na Mashariki mwa Afrika, Dkt. Hafez Ghanem, baada ya kumaliza ziara yake nchini Tanzania. Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Makamu …
Soma zaidi »WAZIRI MULAMULA AFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS WA MAKAMPUNI YA THE PULA GROUP JIJINI DAR
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Balozi Liberata Mulamula akisalimiana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania Mhe. Dr. Donald Wright alipowasili kwenye sherehe za Maadhimisho ya Miaka 60 ya Peace Corps Tanzania yaliyofanyika kwenye viunga vya Taasisi hiyo jijini Dar es Salaam. Waziri wa Mambo …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+