Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

WAZIRI BASHUNGWA: SEKTA ZA WIZARA YA HABARI NI MIHIMILI MUHIMU NCHINI

Na Shamimu Nyaki – WHUSM  Sekta za Wizara ya Habari ni sekta muhimu  zenye  mchango mkubwa katika kuchangia uchumi wa nchi na kuleta  maendeleo.  Hayo yamesemwa  leo Jijini Dodoma na Waziri  wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Innocent Bashungwa wakati akiwasilisha Muundo pamoja na Majukumu ya Wizara hiyo …

Soma zaidi »

RAIS DKT MAGUFULI AMPOKEA MGENI WAKE RAIS WA ETHIOPIA SAHLE-WORK ZEWDE ALIYEWASILI NCHINI KWA ZIARA YA KIKAZI YA SIKU MOJA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimpokea mgeni wake Rais wa Jamhuri ya Ethiopia Mhe. Sahle-Work Zewde mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Geita mjini Chato leo Jumatatu Januari 25, 2021kwa ziara ya kikazi ya siku moja. Rais wa Jamhuri ya Muungano …

Soma zaidi »

WAZIRI KALEMANI AIGIZA TPDC KUKAMILISHA UFUNGAJI WA MITAMBO YA KUSINDIKA GESI ASILIA

Na Dorina Makaya – Dar-es-salaam. Waziri waNishati Mhe. Dkt. Medard kalemani ameliagiza Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kukamilisha ufungaji wa mitambo ya kusindika gesi asilia (Compressed Natural Gas – CNG) kwa matumizi ya magari ndani ya miezi sita. Waziri Kalemani ametoa maagizo hayo kwa TPDC tarehe 23 Januari, …

Soma zaidi »

AMANI NA USALAMA NI MUHIMU KWA KUVUTIA WAWEKEZAJI – WAZIRI MKUU MAJALIWA

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amezindua mwongozo wa uwekezaji mkoa wa Iringa na amesema kwamba Serikali itaendelea kudumisha amani na utulivu ambao ni muhimu kwa wawekezaji na wananchi, hivyo ametoa wito kwa wawekezaji wasisite wa ndani na nje kuwekeza nchini. Amesema uwekezaji ni tegemeo la Taifa katika kukuza uchumi wake na kuongeza ajira, …

Soma zaidi »

TANESCO DODOMA YAPEWA MIEZI 6, MAKAO MAKUU YA NCHI KUPATA UMEME YOTE

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani, ameliagiza Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) mkoani Dodoma kuwa, ndani ya kipindi cha miezi sita kuanzia sasa, Vijiji na maeneo yote ya mkoa huo yawe yamepata umeme, kuunganisha na kuwawashia wateja, atakayeshindwa kutekeleza hilo atakuwa amejifukuza kazi mwenyewe. Dkt. Kalemani alisema hayo, wakati wa …

Soma zaidi »

MWONGOZO WA UTOAJI WA CHANJO ZA MIFUGO NCHINI WAZINDULIWA, KULINDA AFYA YA MNYAMA

Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mashimba Ndaki amezindua mwongozo wa utoaji wa chanjo dhidi ya magonjwa ya mifugo nchini, wenye lengo la kuhakikisha sekta binafsi na umma zinajua haki na wajibu katika zoezi zima la utoaji wa chanjo na kuhakikisha afya ya mnyama inabaki salama. Waziri Ndaki amebainisha hayo (22.01.2021) …

Soma zaidi »

DKT. DAMAS NDUMBARO NA NAIBU WAKE MARY MASANJA WATEMBELEA SHAMBA LA MITI BIHARAMULO

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe.Dkt.Damas Ndumbaro akitoa ufafanuzi na maelekezo kwa viongozi wa Taasisi za Uhifadhi kuhusu masuala mbalimbali ya kuendeleza na kuimarisha uhifadhi hapa nchini mara baada ya kutembelea shamba la Miti Biharamulo -Chato mkoani Geita.  Kamishna Mhifadhi Misitu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. …

Soma zaidi »