Matokeo ChanyA+

Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+.

AGIZO LA WAZIRI NDAKI LAZIDI KUSHIKA KASI, WENGINE ZAIDI MBARONI, UTOROSHAJI WA MIFUGO

Na. Edward Kondela Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limewakamata watuhumiwa wawili wa utoroshaji wa mifugo maeneo ya mipakani. Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa (02.02.2021), Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa …

Soma zaidi »

TAASISI ZA FEDHA NCHINI ZA AHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO

Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa thamani wa zao la Samaki huku wakiahidi kutoa mtaji ili kuliimarisha shirika hilo.  hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine …

Soma zaidi »

WIZARA YA MAWASILIANO YAWAKABIDHI WAKANDARASI MIKATABA YA SHILINGI BILIONI 7.5

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (wa tatu kulia) akishuhudia Makabidhiano ya mkataba ya kazi ya ujenzi, uwekaji na usimikaji wa majina ya mitaa/barabara na namba za nyumba katika halmashauri 12 nchini, baina ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula(wa tatu kushoto) na …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI ATAKA KISWAHILI KUTUMIKA MAHAKAMANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wafanyakazi wa Mahakama, Majaji pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI MABULA AWABANA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUONGEZA KASI UTOAJI HATI

Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka Watendaji wote wa sekta ya ardhi katika halmashauri kushiriki zoezi la kuandaa hati za ardhi ili kuongeza kasi ya utoaji hati katika maeneo mbalimbali nchini. Dkt Mabula ametoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipozungumza na wataalamu wa …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: VIONGOZI WA SEKTA YA UMMA NA BINAFSI WAENDELEZWE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema viongozi wote wa Sekta za umma na binafsi wanatakiwa waendelezwe kitaaluma kwa ajili ya kukuza weledi, ubunifu na maadili ili waweze kusimamia ipasavyo maendeleo na kuongeza tija na mapato ya Taifa. Amesema katika kipindi hiki ambacho nchi imeingia katika uchumi wa kati, Serikali ingependa kuona …

Soma zaidi »

WAZIRI MWAMBE AFANYA MAZUNGUMZO NA MTENDAJI MKUU WA DANGOTE PAMOJA NA WAZALISHAJI WA SUKARI NCHINI

Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Geoffrey Mwambe,akiwa katika picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu na Meneja wa kiwanda cha Dangote nchini Tanzania Bw.Abdullahi Baba mara baada ya mazungumzo ofisini kwake leo Januari 29,2021 jijini Dodoma Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe Geoffrey Mwambe, amekutana na wazalishaji wa Sukari nchini …

Soma zaidi »