Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA), mkoani Mwanza umedhamiria kuunganisha Halmashauri ya Wilaya ya Misungwi pamoja na Halmashauri ya Wilaya ya Nyamagana kupitia ujenzi wa Daraja la Mwasongwe lililopo Mto Nyashishi ili kuwezesha wananchi kufanya shughuli zao za usafiri na usafirishaji kwa urahisi. Hayo yamesemwa na Meneja wa …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA NA WADAU WA MAENDELEO – RIDHIWANI KIKWETE
Na. Andrew Chale, Chalinze Mbunge wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete amewashukuru na kuendelea kuwakaribisha Wanafunzi wa Chuo cha Usimamizi wa Fedha sambamba na Serikali ya Wanafunzi wa Chuo hicho (IFM) kwa kutenga muda wao na kusaidia jamii ndani ya jimbo hilo. Ridhiwani Kikwete ametoa shukrani hiyo, alipokuwa mgeni rasmi …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKABIDHI MAGARI KWA JESHI LA POLISI MKOANI LINDI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekabidhi magari mawili kwa ajili ya matumizi ya Jeshi la Polisi mkoa wa Lindi yatakayowezesha askari kutoa huduma katika maeneo ya mkoa huo. Amekabidhi magari hayo jana (Jumapili, Februari 21, 2021) baada ya kuzungumza na wananchi katika kituo cha Polisi Mtama ambako makabidhiano hayo yalifanyika. Magari …
Soma zaidi »KATIBU MKUU MWAKALINGA AKAGUA KAZI YA UCHIMBUAJI TOPE DARAJA LA JANGWANI
Muonekano wa Daraja la Jangwani jijini Dar es Salaam ambalo kazi ya uchimbuaji tope ili kudhibiti mafuriko pindi mvua za masika zitakapoanza baadaye mwezi ujao. Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi (Sekta ya Ujenzi) Arch. Elius Mwakalinga akisisitiza jambo kwa Meneja Mradi wa Usafishaji Daraja la Jangwani, Eng. Elisony …
Soma zaidi »MKUU WA WILAYA MBARALI “HUWEZI KUTENGANISHA KODI NA MAENDELEO”
Na Veronica KazimotoMbarali Mkuu wa Wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya Reuben Mfune amewaambia wafanyabiashara wa wilayani hapa kuwa, ni vigumu kutengenisha kodi na maendeleo kwani maendeleo ya nchi yoyote ile duniani hutegemea kodi. Ameyasema hayo mwishoni mwa wiki wakati wa semina ya wafanyabiashara hao kufuatia kampeni ya elimu kwa mlipakodi …
Soma zaidi »PROGRAMU RUNUNU YA NAPA KUNUFAISHA SEKTA MTAMBUKA
Na Faraja Mpina, WMTH Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari imewakutanisha wadau mbalimbali wa Anwani za Makazi na Postikodi ili waweze kutoa maoni kuhusu ujenzi wa Programu Rununu ya Anwani za Makazi na Postikodi (National Adddressing and Postcode mobile Application-NAPA) unaoendelea kufanyika Mkoani Morogoro na timu ya wataalamu wa …
Soma zaidi »WAZIRI AWESO AAGIZA KUKAMILISHWA KWA MRADI WA MAJI MABOKWENI
Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Aweso na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu wakikagua maendeleo ya ujenzi wa tanki la kuhifadhi maji katika Kijiji cha Mabokweni akiwa katika ziara ya kikazi ya siku moja. Serikali imesema itahakisha miradi ya maji inakamilika kwa …
Soma zaidi »RAIS MAGUFULI AWATAKA WATANZANIA KUONDOA HOFU KATIKA KIPINDI HIKI AMBACHO DUNIA INAPITA WAKATI MGUMU
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe …
Soma zaidi »VIONGOZI USHIRIKA LINDENI MALI ZA UMMA- KATIBU MKUU KUSAYA
Viongozi wa Vyama vya Ushirika nchini wametakiwa kutumia njia mbadala kulipa madeni ya wanaushirika badala ya kuuza mali ili kulipa madeni hayo.Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya alieanza ziara ya kikazi ya siku tatu ( 18.02.2021) mkoani Kilimanjaro ambapo amebaini changamoto ya uwepo wa madeni …
Soma zaidi »WANAOKWAMISHA KUAZISHWA KWA VIWANDA VINGI VYA KUCHAKATA MIWA NCHINI WAONYWA
Serikali imebaini uwepo wa mkakati wa kukwamisha kuanza kwa ujenzi wa viwanda vingi vya kuchakata miwa ya wakulima ili nchi isijitosheleze kwa uzalishaji wa sukari nchini .Hivyo imewaonya watu wenye nia hiyo pamoja na viwanda vya sukari vinavyoshiriki kukwamisha kuanzishwa kwa viwanda vingi vya kuchakata miwa kuacha mara moja njama …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+