Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Profesa Palamagamba John Kabudi amewataka wamiliki na wafanyabiashara wa Hoteli Jijini Dar es salaam kutumia fursa ya kibiashara itakayotokana na ujio wa wageni takribani 1000 watakaoshiriki katika mkutano wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) kuanzia mwezi August 2019. …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
BENKI YA CRDB YATOA GAWIO LA TZS 9.9 BILIONI KWA SERIKALI
MKANDARASI WA MRADI WA UMEME WA RUFUJI (MW 2115) KUANZA UJENZI RASMI LEO
Imeelezwa kuwa, Mkandarasi wa mradi wa umeme wa Rufiji, kampuni ya JV Arab Contractors na Elsewedy Electric anaanza rasmi kazi za ujenzi wa mradi huo leo tarehe 15/6/2019. Hayo yalisemwa na Waziri wa Nishati, Dkt Medard Kalemani baada ya ziara ya kukagua kazi za maandalizi ya awali ya ujenzi wa …
Soma zaidi »RAIS DKT. MAGUFULI AAGANA NA RAIS WA DRC MHE. THISEKEDI ALIYEHITIMISHA ZIARA YAKE YA SIKU MBILI NCHINI LEO
Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi amemaliza Ziara ya Kitaifa ya siku 2 aliyoifanya hapa nchini kwa mwaliko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli. Mhe. Tshisekedi ameagwa na mwenyeji wake Mhe. Rais Magufuli katika uwanja wa ndege …
Soma zaidi »RAIS TSHISEKEDI WA DRC ATEMBELEA BANDARI YA DAR ES SALAAM, AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA RELI YA KISASA (SGR)
LIVE: ZIARA YA RAIS FELIX TSHISEKEDI WA JAMHURI YA KIDEMOKRASIA YA KONGO NCHINI TANZANIA
ROTARY CLUB YAENDELEA KUWEKEZA SAME
Rotary Club ya Same na Rotary club ya Ames Iowa – USA kuendelea kuwekeza katika miradi ya maji ili kuwezesha wananchi kupata maji safi na salama. Eng. Steve Jones na Eng. Dave Millard kutoka Iowa USA wamefika Same kufuatilia maendeleo ya mradi wa maji unaojengwa kata ya Mhezi kwa ufadhili …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+