Matokeo ChanyA+
MABORESHO YA MFUMO WA HAKI JINAI YAHAKIKISHE WANANCHI WANAPATA HAKI – LUGOLA
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Kangi Lugola amekitembelea kikosi kazi kinachopitia mfumo wa haki jinai nchini ili kuufanyia maboresho na kukitaka kuangalia kwa umakini maeneo yote ambayo yamekuwa changamoto na kuwafanya wananchi kukosa haki zao. Mhe. Lugola ametoa kauli hiyo alipotembelea kambi maalum ya wataalamu wa serikali …
Soma zaidi »SERIKALI YAJA NA SULUHISHO LA WALANGUZI WA TIKETI ZA MABASI
TANESCO YATENGA TSHS. BILIONI 400 KUPELEKA UMEME KWENYE MAENEO YALIYOPITIWA NA MIUNDOMBINU
Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) limetenga kiasi cha shilingi bilioni 400 kwa ajili ya kazi ya kusambaza umeme kwenye maeneo takribani 754 yaliyopitiwa na miundombinu ya umeme lakini hayana umeme. Hayo yalisemwa tarehe 24 Juni, 2019 jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati wa Majumuisho ya Semina …
Soma zaidi »LIVE: MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPAMBANA NA DAWA ZA KULEVYA
LIVE: WABUNGE WAKIPIGA KURA ZA WAZI UPITISHAJI WA BAJETI YA SERIKALI 2019/2020
LIVE CATCH UP KUTOKA BUNGENI: MAWAZIRI WAKITOA MICHANGO YAO KATIKA BAJETI YA SERIKALI 2019/2020
LIVE: UZINDUZI WA GHALA NA MITAMBO YA KUCHAKATA GESI YA LPD, KIGAMBONI DSM
LIVE: KUTOKA BUNGENI DODOMA
MKUTANO WA KUIMARISHA UWEZO WA KIKANDA KWA SEKTA ENDELEVU YA MADINI YA URANI WAFUNGULIWA RASMI
Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) kwa kushirikiana na Shirika la Nguvu za Atomiki Duniani (IAEA) wanaendesha mkutano wa siku tano kwa nchi wanachama wa IAEA kanda ya Afrika, zinazodhibiti usalama wa mionzi. Lengo kuu la mkutano huo uliohudhuriwa na jumla ya washiriki 27 kutoka Botswana, Jamhuri ya Afrika …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+