Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Ashatu Kijaji, amekitaka Chuo cha Mipango ya Maendeleo Vijijini, kutafiti kwa kina namna wananchi wanavyoweza kuondokana na umasikini wa kipato pamoja namna Miradi mbalimbali ya Serikali inavyoweza kutekelezwa kwa ufanisi na kwa kuzingatia thamani ya fedha kuliko ilivyo sasa. Dkt. Kijaji ametoa rai …
Soma zaidi »Matokeo ChanyA+
KITUO CHA AFYA KOME KUPATIWA X-RAY YA KIDIGITALI
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu ameahidi kuwapatia mashine ya x-ray ya kisasa ya kidigitali kituo cha afya kome kilichopo halmashauri ya Buchosha wilayani Sengerema. Waziri Ummy ametoa ahadi hiyo akiwa kwenye ziara ya kikazi kisiwani hapo ya kujionea hali ya utoaji huduma za …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MAANDALIZI YA SHEREHE ZA UHURU MWANZA
Maandalizi ya maadhimisho ya miaka 58 ya Uhuru yamefikia hatua za kuridhisha huku Serikali ikieleza kuwa sherehe hiyo itapambwa na onesho maalum la Jeshi la Jadi la sungusungu kutoka Wilaya ya Kwimba mkoani Mwanza. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia Sera, Bunge, Uratibu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye …
Soma zaidi »SEKTA YA ARDHI YATAKIWA KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA MIPANGO YA MAENDELEO NCHINI
Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara Eng. Stellah Manyanya amezitaka idara mbalimbali za Serikali kuipa kipaumbele sekta ya ardhi katika mipango ya maendeleo inayofanyika nchini. Eng. Stellah Manyanya ameyasema hayo wakati akifungua Mkutano mkuu wa sita wa Mwaka wa Wataalaamu wa Mipangomiji ulioanza tarehe 27 hadi 29 Novemba 2019 jijini …
Soma zaidi »KAMPENI YA ELIMU KWA MLIPAKODI KUANZA LEO DAR ES SALAAM
Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), inatarajia kuanzisha Kampeni ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi katika Mkoa wa Dar es Salaam itakayodumu kwa siku 13 kuanzia tarehe 2 hadi 14 Desemba, 2019. Akizungumzia kampeni hiyo leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi wa Idara ya Huduma na Elimu kwa Mlipakodi wa TRA, …
Soma zaidi »MUHIMBILI YAZINDUA ICU MBILI ZA WATOTO WACHANGA, ZAPUNGUZA VIFO KWA WATOTO
Tanzania ni nchi mojawapo duniani iliyofanikiwa kupunguza idadi ya vifo vya watoto walio chini ya miaka mitano kwa theluthi mbili na imesababisha kufikia mpango namba nne wa malengo ya millennia. Mafanikio haya yamekuja baada ya Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kwa kushirikiana na Tumaini la Maisha (TLM) kujenga ICU mbili …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU AWA MGENI RASMI KATIKA MAHAFALI YA 45 YA CHUO CHA USIMAMIZI WA FEDHA
MADAKTARI NA WAUGUZI WA TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE (JKCI) WAJIFUNZA JINSI YA KUOKOA MAISHA YA MTU ALIYEPATA TATIZO LA DHARULA LA KIAFYA
WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, ATEMBELEA CHUO CHA UVUVI KUNDUCHI, JIJINI DAR ES SALAAM
RAIS MAGUFULI MGENI RASMI MAADHIMISHO YA SHEREHE ZA MIAKA 58 YA UHURU JIJINI MWANZA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika maadhimisho ya sherehe za miaka 58 ya Uhuru wa Tanzania Bara na miaka 57 ya Jamhuri zinazotarajiwa kufanyika Kitaifa mkoani Mwanza. Akizungumza na waandishi wa habari Mkuu wa Mkoa huo Mhe. John Mongella amesema …
Soma zaidi »
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+