RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA SIMBACHAWENE NA BASHE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

IK 1-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. George Simbachawena kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
IK 3-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. George Simbachawena kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
IK 4-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Mhe. Hussein Bashe kuwa Naibu Waziri wa Kilimo Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019

 

IK 5-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Kamishna wa Maadili Jaji (Mst) Harold Nsekela akiwalisha viapo vya maadili ya viongozi Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe, Naibu Waziri wa Kilimo, baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
IK 7-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na viongozi waandamizi kutoka ofisi ya Makamu wa Rais katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
IK 9-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Jaji Mkuu Profesa Ibrahim Juma, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi na viongozi wakuu wa vyombo vy ulinzi na Usalama katika picha ya pamoja na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. George Simbachawene na Mhe. Hussein Bashe Naibu Waziri wa Kilimo baada ya kuwaapisha Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
IK 11-01
Naibu Waziri wa Kilimo Mhe. Hussein Bashe akijiandaa kundoka mara baada ya kuapishwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019
IK 13-01
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpongeza Mhe. George Simbachawena baada ya kumuapisha kuwa Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumatatu Julai 22, 2019

 

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *