Mkuu wa Idara ya Huduma za Usingizi, Dr. Lugazia, akionyesha na kuelezea vifaa mbalimbali vilivyopo katika maabara ya kisasa ya mafunzo. Vifaa hivi vimewekwa na kampuni ya Gradian Health SystemsPicha ya pamoja.Mkuu wa Idara ya Huduma za Usingizi, Dr. Lugazia, akionyesha na kuelezea vifaa mbalimbali vilivyopo katika maabara ya kisasa ya mafunzo. Vifaa hivi vimewekwa na kampuni ya Gradian Health SystemsBaadhi ya washiriki katika uzinduzi wa maabara ya kisasaNaibu Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Faustine Ndugulile akizungumza wakati wa uzinduzi wa maabara ya kisasa
Katika kuadhimisha Siku ya Afya Duniani, Naibu Waziri wa Afya Dkt.Faustine Ndugulile amezindua maabara ya kisasa itakayotoa mafunzo kwa vitendo kwa wataalamu wa huduma za usingizi na dharura, MUHAS