Kongamano la Wadau wa Mazingira 2024 Matokeo ChanyA+ May 31, 2024 Tanzania MpyA+ 87 Maoni 3,278 Imeonekana Makamu wa Rais amewasihi Watanzania kuacha mazoea ya kukata miti na kutupa taka hovyo na kuziagiza Mamlaka za Serikali za Mitaa zihakikishe kuwa Kampuni zinazopewa kazi ya kuzoa taka ziwe na uwezo wa kufanya kazi hizo kwa ufanisi. Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest