RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU DK. ALI MOHAMED SHEIN

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu yaSaba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake KibeleWilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye.

Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali MohamedShein akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi alipofika nyumbani kwake Kibelekwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza naye. (Picha na Ikulu.)

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *