KIKAO CHA KWANZA CHA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE ARDHI, MALIASILI NA UTALII JIJINI DODOMA

Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.
Baadhi ya Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakiwa katika kikao cha kwanza na Viongozi kutoka Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii wakimsikiliza Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi wakati akifafanua kuhusu kazi, muundo na majukumu ya Wizara yake katika kumbi za Bunge jijini Dodoma.

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *