RAIS MAGUFULI AMEMKABIDHI RAIS MSTAAFU ALI HASSAN MWINYI NYUMBA MAALUMU ILIYOJENGWA NA SERIKALI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi wakikata utepe kuashiria ufunguzi wa Nyumba maalumu iliyojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya marais Mara wanapo Staafu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli leo amemkabidhi Rais mstaafu wa Awamu ya Pili Mhe. Ali Hassan Mwinyi Nyumba maalumu iliyojengwa na serikali kwa mujibu wa Sheria namba 3 ya Mwaka 1999 inayo ainisha ujenzi wa Nyumba maalumu kwa ajili ya marais Mara wanapo Staafu. Hafla hiyo ya makabidhiano imefanyika Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika Picha ya Pamoja wakionesha alama ya kufurahi na Mhe Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi na Mama.Sitti Mwinyi. Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam , Mhe. Aboubakar Kunenge , na Brigedia jenerali Rajabu Mabele Mkuu wa SUMA JKT , Jijini Dar es Salaam leo tarehe 18 Oktoba 2020

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *