๐Ÿ”ด LIVE: KUTOKA TIA SINGIDA | VIJANA PLATFORM CAMPUS CONNECT.

Karibu ujiunge nasi moja kwa moja kutoka TIA Singida kwenye Vijana Platform Campus Connect. Katika mjadala huu maalum, tunayo heshima ya kuwa na Mgeni Rasmi, Mhe. Waziri Joel Arthur Nanauka, ambaye atazungumza na vijana wa chuoni kuhusu fursa, ajira, uongozi na nafasi ya vijana katika maendeleo ya taifa. Campus Connect ni jukwaa linalowaleta vijana karibu na viongozi na wadau mbalimbali ili kujadili masuala muhimu yanayowahusu moja kwa moja. Hii ni nafasi ya kusikiliza, kuuliza maswali na kupata mwanga kuhusu mustakabali wako. Jiunge nasi mubashara, shiriki maoni yako kwenye comments na usisahau kusubscribe ili usikose matukio mengine kama haya.

#VijanaPlatform #CampusConnect #TIASingida #VijanaNaUongozi

Unaweza kuangalia pia

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa na viongozi mbalimbali kwenye picha ya pamoja na baadhi ya Maafisa na Askari wa Kikosi Kazi kutoka Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) walioshiriki Ujenzi wa Makao Makuu ya Ulinzi wa Taifa (MMUT), Kikombo Mkoani Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *