Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa na Mgombea Urais wa Tanzania kwa Uchaguzi Mkuu wa 2025, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, amezindua rasmi kampeni za CCM kupitia tiketi ya chama hicho leo tarehe 28 Agosti 2025, katika Viwanja vya Tanganyika Peckers, Kawe – Dar es Salaam. Katika uzinduzi huu, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan amewasilisha dira na vipaumbele vya CCM kuelekea uchaguzi wa 2025, akisisitiza umoja, maendeleo endelevu, na uongozi unaojali wananchi.
👉 Tazama tukio hili kubwa ambalo linabeba matumaini ya Watanzania kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025. #CCM2025 #SamiaSuluhuHassan #UchaguziMkuuTanzania #Kawe #DarEsSalaam #CCMKampeni
Matokeo ChanyA+ Chombo kinachounga mkono matokeo yote chanyA+ TanzaniA+. #InfoChanyA+